Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru viongozi mbalimbali wa
Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali waliomsindikiza katika katika uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake
ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya
kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck
Sadik wakati akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa
wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment