HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 2 May 2017

Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi

 Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe (kushoto) akikabidhi cheti kwa Mpishi wa Mgahawa na kituo hicho cha vivutio cha Kaole Snake Park, Ally Selemani Hamisi ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa wafanyakazi wa kituo hicho katika kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani. Hafla hiyo imefanyika jana katika kituo hicho.
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe (kushoto) akikabidhi cheti kwa Mhudumu wa Mgahawa wa Kaole Snake Park, Cresencia Kasunga.
 Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe akizungumza katika hafla fupi ya kupongeza wafanyakazi wa kituo hicho, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa wafanyakazi wa kituo hicho katika kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani. 
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe akifurahi jambo na Mhifadhi wa Wanyama wa Kituo cha Kaole Snake Park, Pius Mtemi baada ya kumkabidhi cheti cha shukrani.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad