HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 3 April 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Spika wa Bunge Mh. Job Ndugaiwalipokutana leo kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma  Aprili 3, 2017 kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge ili kupeana taarifa (briefing) . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (Kulia) leo kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Aprili 3, 2017 kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge ili kupeana taarifa (briefing). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad