HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 3 April 2017

WAFANYABIASHARA WA MACHINGA COMPLEX WACHOMA MATAIRI KATIKATI YA BARABARA

 Wafanyabiashara ndogondogo wa Machinga Complex ilala, Dar es Salaam wamechoma matairi barabarani wakipinga kuondolewa vibanda vyao. 
 Wafanyabiashara hao wamefikia hatua ya wamewasha moto katikati ya barabara eneo la Machinga Complex mara baada ya kukuta vibanda vyao vimevunjwa. jeshi la zima moto limewasili eneo la tukio kwa ajili ya kuzima moto huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad