Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akikabidhi gari la wagonjwa kwa Mwenyekiti wa Kata ya Nzega ndogo, William Jumanga kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.

Mbunge
 wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na mgonjwa Agnes 
Nobert aliyekuwa amelazwa katika Zanati ya Zogolo baada ya kutembelea 
juzi wilayani Nzega mkoani Tabora juzi. 

Mbunge
 wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza katika mkutano wa 
hadhara na wananchi wa Kata ya Nzega ngodo kabla ya kuwakabidhi gari la 
wagonjwa juzi
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akionyesha gari la wagonjwa alilolikabidhi kwa viongozi wa Kata ya Nzega ndogo kwa ajili ya Zahanati ya Zogolo iliyopo wilayani Nzega mkoani Tabora juzi.

Mbunge
 wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na Mkurugenzi wa 
Halmashauri ya Mjini wa Nzega baada ya kukagua ujenzi wa Sekondari ya 
Nzega ndogo  juzi.


Mbunge
 wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), akizungumza na wasimamizi wa 
ujenzi wa barabara ya Ngudu iliyopo Kata ya Ngeza ndogo mkoani Tabora 
juzi. Picha na Fidelis Felix.
 

 
 



 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment