HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 22, 2017

UBALOZI WA MAREKANI WATOA MAFUNZO KWA BLOGGERS WA NCHINI TANZANIA

Mkufunzi wa Mafunzo hayo Ricci Shryock akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo yaliyoandaliwa, kufadhiliwa na Kufanyika kwenye Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam nchini Tanzania washiriki wa mafunzo hayo ambao ni wanahabari wa Mitandao ya kijamii. (PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA MAREKANI)
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa na maafisa mbalimbali kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.
Bw. John Bukuku wa www.fullshangweblog.com B akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya uandishi wa habari (Multmedia Journalisim) kutoka kwa Mkufunzi Ricci Shriyock kutoka nchini Senegal mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo. 
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
Mwanablog Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.
Miss Populler akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
Katibu wa Chama cha  Tanzania Bloggers Network(TBN) akipokea cheti chake.
 Mwanablog Kajuna wa Kajunason akipokea cheti chake.
 Mwanablog Zainul Nzige  wa TheBeauty Blog akipokea cheti chake.
 Mwanablog Tunu Bashemela akipokea cheti chake.
 Mwanablog John Kitime akipokea cheti chake.

Mwanablog Jackson Tesha akipokea cheti chake.
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad