HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 22 March 2017

KUMBILAMOTO AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI NA RANGI SHULE YA MSINGI KOMBO KATA YA VINGUNGUTI

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamoto akizungumza na wazazi wa Shule ya Msingi Kombo kata ya Vingunguti  mara baada ya kukabidhi mifuko ya Saruji na Rangi kwa ajili ya Shule hiyo.
 Wanafunzi wa shule ya Msingi Kombo kata ya Vingunguti wakuwa wamekaa Darasani kumsubiri mwalimu
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto akikabidhi makopo ya Rangi na mifuko ya Saruji kwa Mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Kombo, Stela Mhando
Wanafunzi wakiwa wameshika makopo ya Rangi wakifurahi kwa furaha mara baada ya kukabidhiwa makopo ya Rangi na Diwani wa Vingunguti

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad