HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 8, 2017

RC MAKALLA AMSAIDIA MWANAMKE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI, ACHANGIA MILIONI MOJA KUAJILI YA MATIBABU.


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Amos Gabriel Makalla amemkabidhi shilingi milioni moja Bi Fidea Lucas kwa ajili ya kumsaidia matibabu baada ya kumwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana miaka 2 iliyopita
Msaada huo ni utekelezaji wa ahadi yake Mkuu wa  Mkoa aliyoitoa wiki kadhaa zilizopita kwenye kikao cha kusikiliza kero za wananchi na baada ya kuguswa alihaidi kumsaidia mama huyo hela ya matibabu
Aidha, Mhe.Makalla amehaidi kufuatilia madai yake yote ikiwemo kumsaidia kupata haki zake kwa mwajiri wake na msaada wa kisheria.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad