HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 3 March 2017

RAIS DK.SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SINGAPORE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad