HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 13 March 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO JIJINI DAR LEO KUFUATIA MVUA ILIYONYESHA

Eneo la Bamaga jijini Dar es salaam, likiwa limejaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya mji huu.
 Kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa jijini Dar es salaam leo, soko la Sinza limelazimika kufungwa kwa muda kutoka na kujaa maji eneo lote la soko hilo.
 Leo huduma haita patikana hapa.
 Haya shtuaaaa.......

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad