HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 1 February 2017

TASWIRA MBALIMBALI ZA MAFURIKO ENEO LA ISANGA NA ILOLO JIJINI MBEYA....

Baadhi ya wakizi wa meneo ya Isanga na Ilolo jijini Mbeya wakiangalia jinsi ambovyo mvua kubwa iliyonyesha siku ya jana jinsi ambavyo imeharibu Mashamba yao ya mboga za majani kutokana na maji kujaa katika maeneo yao ya makazi pamoja na mashamba yao.Picha Na Fadhiri Atick Mmg Mbeya.
Jeshi la Zimamoto na uokoji pamoja na baadhi ya wakazi wakiwa katika maeneo hayo kushuhudia na kujaribu kutoa msaanda kwa baadhi ya wakazi walio kwama kuvuka ng'ambo kutokana na maji mengi kujaa katika maeneo hayo.
Moja kati ya wakazi wa jiji la Mbeya akistaajabu jinsi ambavyo maji yakisonga kwa kasi kutokana na Mvua kubwa iliyo nyesha kwenye baadhi ya maeneo Jijini hapo na hakuna mtu alielipotiwa  kuathilika wala kupoteza masha nje ya maji kuingia kwenye majumba ya watu pamoja na kuaribu mashamba.
Wakazi pamoja na wanafunzi wakitazama jinsi ambavyo maji yalivyo fulika katika maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad