HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 31, 2017

VIDEO: Juma Pondamali "Mensa" aelezea namna alivyoanza kujihusisha na soka

Mcheza soka mkongwe na hapa nchini Juma Pondamali “Mensa” ambaye kwa sasa ni kocha wa Makipta katika timu Yanga “Dar Young Africa” amefunguka na kumtaja kocha ambaye alimkuza kisoka toka akiwa mdogo yaani umri wa miaka 13-14. Juma Pondamali alikuwa ni golikipa hodari aliyefanikiwa kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya “African Cup of Nation” miaka ya 1980. Tumia dakika zako kadhaa kuitaza hii video ili ujue mengi kuhusu Nyota huyo. Endelea kutufuatilia hapa soon tutakuletea Taarifa yake mpya ya kuachia wimbo wake wa singeli…..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad