Baada ya kimya cha muda kutoka studio Za Grandmaster Records, sasa wamekuja na kuendeleza mtiririko wa ile mixtape ya kihistoria ambayo safari yake iliianza na Life Goes On (Video iko chini pale. wanaomba mpokee zawadi hii kama mwanzo wa kuendeleza pale walipoishia. Isikilize hiyo ngoma hapo chini. Video ya ngoma ya Life Goes On hii hapa chini.
Monday, January 23, 2017

Home
BURUDANI
MUZIKI
VIJANA
WASANII
NGOMA MPYA MTAANI: INTRODUCING: Mchezo Mbona Simple - Stamina,Beka Tittle,Darassa,King Kapita,James Cuca
NGOMA MPYA MTAANI: INTRODUCING: Mchezo Mbona Simple - Stamina,Beka Tittle,Darassa,King Kapita,James Cuca
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment