Mtaa Kwa Mtaa Blog

MKUU WA MKOA WA MBEYA AISHUKURU UN KWA MISAADA NA USHIRIKIANO KWA SERIKALI YA TANZANIA ...

Mkuu wa mkoa wa mbeya Mh.Amos Makalla akipokea nakala kutoka kwa Mkurugenzi mkazi wa (UN) Alvaro Rodriguez aliyemtembelea Mkuu wa Mkoa.

Mkuu wa Mkoa amewakikishia ushirikiano zaidi kwa mradi wa Vijana kutambua fursa na kuzitumia utakaotekelezwa Mkoa wa Mbeya mwakani.Pia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amelishukuru shirika la misaada la umoja wa mataifa kwa misaada na ushirikiano kwa serikali YA Tanzania ikiwemo huduma kwa kambi za wakimbizi, Mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana yenye kauli mbiu YA Vijana na Fursa na misaada mingi katika shughuli za maendeleo 
Hayo ameyasema wakati wa mazungumzo YA Mkuu wa Mkoa na mkurugenzi mkazi wa UN hapa nchini Alvaro Rodriguez aliyemtembelea Mkuu wa Mkoa 

Picha ya pamojan mkuu wa mkoa wa mbeya Rc Makalla na viongozi wa shilika la umoja wa mataifa.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget