
Mkuu wa mkoa wa mbeya mh.Amos Makalla amekutana na waendesha Bajaji wanautumia kituo cha Kabwe na kusitisha kwa muda kuhamishwa kituoni hapo mpaka hapo kituo kilichopendekezwa kifanyiwe marekebisho agiza operesheni iendelee kwa Bajaji kufuata ruti na vituo walivyopangiwa ataka jiji la Mbeya liwe la mfano kwa usafi
Aidha ameridhia operesheni kwa vituo na njia zilizopendekezwa iendelee lengo la operesheni hii ni kuliweka jiji safi na kuondoa msongamano.

Baadhi ya madereva wa bajaji watumiao eneo la kabwe kuegesha bajaji zao wakizungumza na mkuu wa mkoa wa mbeya Amos Makalla Hayupo Pichani....

Mkuu wa mkoa wa mbeya akiagana na waendesha Bajaji wa Kabwe mara baada ya Kuzungumza nao.
No comments:
Post a Comment