HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 25, 2016

SIKILIZA HAPA RAIS MAGUFULI ALIVYOPIGIA SIMU MAKONDA AKIWA KWENYE MKUTANO WA WANANCHI

Tokeo la picha la magufuli apiga simu
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amempigia simu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kuongea naye ‘live’ akiwa katika mkutano wa ziara yake ya wilaya ya Ubungo ya kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuzitatua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad