Mtaa Kwa Mtaa Blog

KING CLASS 'MAWE' AKWEA PIPA KUMFATA MPINZANI WAKE NCHINI BERLIN


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa na Msimamizi wake, Joe Anena (kulia) muda mfupi kabla ya kukwea pipa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Kuelekea mjini Huxleys, Kreuzberg, Berlin kunako mpambano wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa.
Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila 'Super D' (katikati) akiwa na Bondia Ibrahimu Class (kulia) na Joe Anena katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya safari yao kuelekea nchini Berlin kunako mpambano wa marudio kati yake na Bondia Zapir Rasulov, baada ya lile la kwanza kushinda kwa point kule nchini Panama City, Panama na kurudi na ubingwa.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget