Sehemu ya Umati wa Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa wamejitikeza kwa wingi wenye ufukwe wa Cococ Beach kujividhanjari na Upepo wa Bahari, wakiwa katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitr. Haya ni baadhi tu ya Maeneo mengi ya Ufukwe za wazi yanayotumiwa na wananchi walio wengi hapa jijini Dar.
Wakubwa wa Watoto wakikwa katika ufukwe huo.

Viwalo vya kuogelea vya kukodishwa vikiwa vimetundikwa kusubiri wakodishaji.
Nyomi la nguvu Coco Beach.

No comments:
Post a Comment