HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 7, 2016

WAZIRI WA MAJI ATEMBELEA BANDA LA DAWASCO KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA



Waziri Lwenge akidodosa jambo baada ya kupata maelezo ya upimaji wa ubora wa maji kutoka kwa Afisa Ubora wa Maji wa DAWASCO, Sinza Mongela alipotembea Banda la shirika hilo leo. Maonyesho hayo yaliyofunguliwa mapema wiki hii na Rais wa Rwanda Mh Paul Kagame na yanatarajia kufika kilele mwisho wa wiki hii ambapo kampuni zaidi ya 600 kutoka ndani na nje ya Nchi ya nchi zimeshiriki. (Picha na Robert Okanda)
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mh Gerson Lwenge akipata maelezo mafupi ya huduma ya DAWASCO kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati alipotembelea banda la Shirika hilo leo.
Waziri Lwenge akipata maelezo ya upimaji wa ubora wa maji kutoka kwa Afisa Ubora wa Maji wa DAWASCO, Sinza Mongela alipotembea Banda la shuirika hilo leo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad