HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 7, 2016

KAUKA NIKUVAE MWAYEGO

Katika pitapita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog, ilibahatika kuinasa taswira hii mwanana kabisa ya mdau akisubiria nguo yake ikauke aliyokuwa ameianika kwenye kingo za Daraja la Mto Msimbazi, Kigogo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad