HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 14, 2016

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MADARASA YA SHULE YA SEKONDARI YALIYOUNGUA LINDI.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maabara na madarasa yaliyoungua kwa moto katika shule ya sekondari ya Lindi akiwa katika ziara ya Mkoa huo Julai 14, 2016 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad