HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 14, 2016

TANZANIA YAPANDA ALGENTINI YASHIKILIA NAMBA MOJA.

TANZANIA yapanda kwa nafas 13 viwango vya FIFA kutoka nafasi ya 136 hadi 123.

Argentina imeendelea kushikilia nafasi ya kwanza kidunia akifuatiwa na Colombia huku timu za bara la Amerika ya Kusni likitesa kwa kuingiza timu nne kwnye tano bora na timu kutoka bara la Ulaya wakiingiza timu.moja ikiwa ni Ujerumani.

Mabingwa wa Ulaya, Ureno wameshika nafasi ya sita huku Brazil wakishuka hadi nafasi ya tisa, Uingereza wameporomoka mpaka nafasi ya 13 na Wales wakipanda kutoka nafasi ya 15 hadi 11.

Bara la Afrika limeonekana kupotea hasa baada ya kushindwa kuingia hata timu moja kwenye 20 bora na Algeria wakishika nafasi ya 32 huku Ivory Coast wakichukua nafasi ya 35.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad