Mbunge wa Afrika Mashariki (EAC), Waziri wa Habari wa Zamani wa nchini Burundi na Mtangazaji Mstaafu wa BBC, Bi. Hafsa Mossi (pichani) ameuawa kwa kupigwa risasi mapema leo katika barabara ya Gihosha, eneo la Nyankoni, jijini Bujumbura, Burundi. Inaelezwa kuwa wauaji waliofanya tukio hilo walikuwa ndani ya gari na walimmiminia risasi kadhaa kifuani Mwanamama huyo na kutimka kuelekea kusikojulikana.
Wednesday, July 13, 2016

Home
BURUDANI
HABARI
HABARI MCHANGANYIKO
MSIBA
Mbunge wa Afrika Mashariki (EAC), Hafsa Mossi auwawa kwa kupigwa risasi jijini Bunjumbura, Burundi leo
Mbunge wa Afrika Mashariki (EAC), Hafsa Mossi auwawa kwa kupigwa risasi jijini Bunjumbura, Burundi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment