Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka Mfuko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi vifaa vya michezo mrakimu wa polisi SP Moses Luvinga.
Mrakimu wa Chuo cha polisi Moshi SP Moses Luvinga akitoa neno la shukurani kwa niaba ya Mkuu wa Chuo.
Mkuu wa kitengo cha Masoko Bw Aloyce Ntukamazina akielezea mikakati ya Mfuko ya kuchangia katika sekta ya michezo hususan mpira wa kikapu.
Timu za mpira wa kikapu kutoka chuo cha polisi moshi pamoja na KCMC zikikaguliwa tayari kwa kucheza mchezo wa kirafiki kuashiria uzinduzi wa kiwanja cha mpira wa kikapu katika chuo cha polisi Moshi.
Pichani baadhi ya wanafunzi wakifuatilia mechi hiyo ya ufunguzi
Timu hizo mbili KCMC pamoja na timu ya Chuo cha Polisi zikichuana vikali katika mechi hiyo ya kirafiki
wadau mbalimbali na viongozi kutoka CCP na Mfuko wa GEPF wakifuatilia mechi hiyo
No comments:
Post a Comment