Msanii
wa mitindo ya kiafrika kutoka Tanzania JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA ambaye
amekuwa tishio katika mitindo ya asili ya mwafrika ameendelea
kuiwakilisha vyema Tanzania katika majukwaa mbalimbali ndani na nje ya
nchi , kama unakumbuka mwezi wa saba alituwakilisha vyema Jijini Nairobi
na kuonekana mwanamitindo bora sasa.
Msanii
huyu ambaye ndio mwanzilishi ya kampuni ya MAKEKE AFRIKA CO. LTD
atapanda tena jukwaani mwezi huu nchini Afrika Kusini kufanya maajabu
kwa mara nyingine katika shindano hili kubwa la mitindo nchini Afrika
kusini, JOCKTAN WA MAKEKE AFRIKA amesema kuwa sasa anakuja na collection
nyingine mpya inayokwenda kwa jina la TABID - THE AFRICAN BEAUTY IN THE
DARKNESS ambayo itaonekana katika jukwaa hilo la TDWFS - the designers
walk fashion show hivi karibuni.
ABOUT THE DESIGNERS WALK FASHION SHOW
This
is an event, hosted by Auriginal PTY.(LTD), that brings together
aspiring models and designers to compete and showcase their talents and
innovation.
The
Designers Walk fashion show is an event founded to serve as a platform
for rising models and designers. By means of a competition, we have the
judges and the people to evaluate the best. However, the decision of who
the best doesn't end ones opportunities.
aside
from models and designers, we have rising entertainers coming to the
table, to expand their horizon and to keep you on your toes during the
event. With interested people, their opportunities can also expand.
No comments:
Post a Comment