HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 25 June 2020

Man City kuwaongezea siku moja zaidi Liverpool kusubiri taji baada ya miaka 30

SIKU muhimu sana pale Stamford Bridge! Hii ni mechi ambayo inaweza kutupa jibu la nani bingwa katika Ligi Kuu ya Uingereza. Bila shaka, Man City bado wanataka kuwakwamisha Liverpool, watahitaji kukamilisha kibarua hiki kigumu kwa kusepa na ushindi kutoka wapinzani wao wa London.

Unachopaswa kufahamu, hapa Meridianbet kuna idadi kubwa sana ya odds zinazoisubiri mechi hii. Matokeo mengine yeyote zaidi ya Man City kushinda ina maana baada ya miaka 30 ya kusubiri, hatimaye Anfield wanapokea taji. Chelesa hawatataka kufunikwa wakiwa nyumbani, watapambana vilivyo kujiongezea gepu la pointi dhidi ya mpinzani wake aliyepo nafasi ya 5 kujihakikishia nafasi yao katika Ligi ya Mabingwa.

Macho yote ya wapenzi wa soka la Uingereza, hasa mashabiki wa Liverpool, yalikuwa yakitazama Man City alichomfanya Burnley, matokeo yalikuwa yaliwafurahisha sana wazee wa mikeka.

Meridianbet inakupa maana tofauti kabisa ya Double Bet, ili tiketi yako iweze kushinda - unahitaji kupatia moja tu kati ya bashiri zako mbili. Unganisha matokeo ya mwisho na idadi ya magoli na ujitengenezee nafasi ya kushinda.

Kuna sababu kibao za kujisajili sasa na Meridianbet.co.tz kisha endelea kujilipa na soka la Uingereza kwa staili yako Unapata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuanzia 5000 wa kuweka pesa kwenye akaunti tako.

23 comments:

 1. Cheza mkeka sasa ukiwa na #meridianbettz

  ReplyDelete
 2. Cheza mkeka sasa ukiwa na #meridianbettz

  ReplyDelete
 3. wanamchelewesha tu ila uwakika lazma achukue ndoo yake

  ReplyDelete
 4. Kwa odds bomba meridianbet pekee

  ReplyDelete
 5. Chelsea anakibarua cha kumtangaza Liverpool kuwa bingwa, je Mancity atakubali kweli??!!

  ReplyDelete
 6. Mzarau mwiba mguu huota tende Chelsea lazima ashinde

  ReplyDelete
 7. Kombe la liverpool atakama city atachelewesha taji ipo hivyo

  ReplyDelete
 8. Mancity wanaweza kuchukuwa ubingwa tusiwadharau wala.

  ReplyDelete
 9. Man City imepania kutaka kuharibu sherehe

  ReplyDelete
 10. Man city IPO vizurii

  ReplyDelete
 11. Nếu như quý khách hàng đang hoạt động trong ngành xuất nhập khẩu hàng hóa, có nhu cầu sử dụng dịch vụ khai hải quan giá rẻ. Hãy liên hệ với Ratraco Solutions để được hỗ trợ tốt nhất về dịch vụ.

  ReplyDelete
 12. Man city hawanaga jambi mbele ya chelsea

  ReplyDelete

Post Bottom Ad