HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 18, 2015

WANAANZAGA UTANI UTANI HIVI HIVI LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HAPA....

Sikuzote huku mitaani wanao kuwa wanagombana visa huwa vina kuwa ni vitu vidogo vidogo kama hivi hawa jamaa walikuwa wakitishiana kupigana kama walivyo naswa hapo na kamera yetu lolote linaweza kutokea kwani huwenda mmoja akawa anafanya utani huku mwingine yupo siliasi na swala...ndipo mara mmoja kapigwa kidogo kwa kudhani ni utani na atakapo chukua jukumu la kumludishia ndipo zengwe huwa lina anza sasa.....Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
Unaona hapo mdau taratibu taratibu hivi hivi mara ugomvi una anza...
Huyu tayari kachukia sasa unajua kinacho fuata hapo......???

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad