HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 18, 2015

HII NDIO ADABU STAHIKI PINDI AMBAPO MTOTO ANAAGIZWA NA MZAZI....

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilikutana uso kwa uso na binti huyu ambae alikuwa akitii agizo la mzazi alipo muagiza mahala kufanya jambo fulani huku akikimbia kuashilia kuwa jambo hilo sio la kungoja kwa muda mrefu bali ni la haraka sana...
binti akiendeleza mbio kufika mahara kwa wakati...
Pumzi ikawa inakata mdogo mdogo kwa binti huyo kutokana na kupekecha miguu kwa kitambo tangu atokako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad