Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilimnasa fundi kuchora akiwasilisha kipaji chake kwa kuandika maandishi kwenye moja ya bango mitaa ya nanihii pale kama alivyo naswa hapo na kamera yetu...
Usipo ifurahia kazi yako siku zote huwa inakua ngumu lakini hapa ni lainiii kwa kuwa fundi anachekelea kazi yake anayo iyanadaa...
No comments:
Post a Comment