Vumbi na vimbunga vinavyotokana na upepo mkali vina endelea kushamiri jijini mbeya kutokana na upepo huo baadhi ya mitaa inaendelea kukipata cha mtemakuni kwani hakuna muda maalum wa kupendeza na kauli mbiu ya vumbi la mbeya ni "PENDEZA TUKUKUFYE" kutokana na vumbi la mbeya kutoa kauli hiyo basi watu wengi jijini humo wametii na kuendelea kukomaa hivyo hivyo kinunda kuepusha shari ya kufua mara kwa mra na kuoga mara kwa mara. picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa heka heka vumbi limekinukisha kisawasawa.
wengine wanajiziba nyuso zao kuhofia vumbi la mafua.
No comments:
Post a Comment