
hapa kipandwa hicho kikiwa kimepiga mweleka mpaka chini na mzigo wa maji kwenye kitako.
msamalia alie tukuka kwa utukufu wa kutoa misaada kama hii akijaribu kushirikiana kutoa msaada kwa mdau huyo.
"ahh nashukuru sana ndugu yangu maana hii ni mbamba nsilili hii nusu ni dharilike aisee."
"Usijari we nenda ila usisahau kunistua tena kwenye majanga kama haya, nipo kuajiri hiyo usiogope mwana lakini ungenitua hata jero ningeshukuru mwana...." alisikika akisema hivyo mtoa msaada.
No comments:
Post a Comment