Msanii wa Sarakasi akionyesha umahiri wake katika kufanya mazoezi ya
viungo kama alivyokutwa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa eneo la Bagamoyo
mkoani Pwani.
Japokuwa
sehemu anayofanyia matizi hayo si salama kutokana na kuwepo kwa shimo
kubwa na chemba, lakini mwanasarakasi huyu hata hakujali na aliendelea
na tizi lake kama kawa.
Umahiri katika kujikunja aina tofautitofauti katika kuweka mwili sawa.
No comments:
Post a Comment