
Taasisi ya Dorice Mollel Foundation chini mshindi wa nne wa Miss Tanzania 2014/15, Dorice Mollel (kulia) akiwa pamoja na watoto wanaolelewa kwenye kituo cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori, Jijini Dar es salaam.Dorice Mollel Foundation kwa kushirikiana na Rehema Solidarity Trust iliyo chini ya Ubalozi wa Uturuki walitoa msaada wa vitabu vya dini kwa kituo hicho pamoja na vingine viwili ili kuwawezesha watoto hao kujengwa katika maadili mema ya kiimani.anaeonekana mbele kushoto ni Mlezi Mkuu wa Kituo cha kulea Watoto Yatima cha CHAKUWAMA,Bibi Saida Hassan.

No comments:
Post a Comment