HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 8, 2015

TASWIRAZ YA LANGO LA STENDI YA DALADALA BAGAMOYO.

Shimo hili limekua kero kwa waendesha daladala hasa nyakati za usiku katika stendi kuu ya daladala ya Bagamoyo mkoani Pwani.
  Lango kuu la kuingilia Daladala katika stendi kuu ya Bagamoyo, kama palivyotembelewa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa pakiwa na shimo la chemba likiwa halijafunikwa nje kidogo ya lango la stendi hiyo.
Usafi umefanyika sawa!!!!!! na dampo hapo pembeni.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,MTAA KWA MTAA.)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad