Mwanadada akikata mitaa taratibu taratibu huku akiwa na kitu kinacho mfariji na kuiyona safari yake ni rahisi na nyepesi kwa kila hatua anayo piga basi lazima ang'ate kipande kidogo cha muwa na kujikuta akiendelea kung'atua hatu nyingi na kufika mbali zaidi..
mzigo lazima uwe mwepesi hapo si unajua utamu wa muwa ulishawahi kuzamisha meli..
No comments:
Post a Comment