Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilipo kuwa katika heka heka yake ilikumbana na jamaa wa boda boda akiwa amepakia baadhi ya viti kwenye kipandwa chake kuajili ya maandalizi ya kiji mnuso hapo mitaa ya jirani kwetu... yulee...hana nongwa na mtu....
No comments:
Post a Comment