
Uturivu na Umakini unahitajika katika uparaji wa samaki..
Hapa akifanya upasuaji kisha kutoa vilivyomo ndani ya samaki huyo aina ya "Gebuka."
hapa akiendelea na upasuaji wa tumbo la samaki...
haya ndiyo mambo ya mama nanii bana kwenye fani hii ya uparaji wa samaki.
No comments:
Post a Comment