HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 22, 2015

KIMPANGO WAMGU.....

Kamera ya mtaa kwa mtaa mapema leo iliinasua taswira hii ya mdau akiwa ndani ya koti na bukta akikata mitaa bila wasiwasi huku akichati na ndugu na jamaa kwa simu kitaa cha jirani hapo...
"nyie semeni tuu mimi hapa kimpango wangu kwanza sili kwenuu"
mdau taratibu akiendelea kupiga hatua na koti lake na kitu cha buktaaa....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad