Sigara ni kipenzi cha wengi lakini pia ni kero kwa watu wengi zaidi duniani na katika uvutaji wa sigara kuna madhara mengi na faida chache katika mwili wa binaadamu, leo libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog lilipo kuwa mtaani likafanikiwa kunasa baadhi ya taswira ambazo kwa namna moja ama nyingine ni changamoto katika uvutaji wa sigara mitaani,katika taswira hapo juu hiyo ni moja ya raha ya sigara kwa mvutaji kama aonekanavyo hapo katika taswira kuinyenyekea kwa hisia kari sigara anayo vuta......
Na hii ndio kero moja wapo ya wavuta sigara pindi wanapo vuta sigara zao kuelekezea moshi wa sigara kwenye nyuso za wasio tumia kilevi hicho na kupata tabu ya kuvumilia tendo hilo mpaka liishe...Ndugu zangu tunao tumia kilevi aina ya sigara tujitahidi kuwa wastaharabu katika uvutaji wa sigara raha yako wewe isiwe kero kwa mwenzio...picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
No comments:
Post a Comment