HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 22, 2015

NIMEJIKOMBOA MWEE...

Kijana akivuka barabara kuelekea upande wa pili akiwa na kipando chake huku akiwa amejikomboa kwa kuvuta godoro kuajili ya kwenda kupambana na kuanza maisha rasmi kama alivyo naswa hapo na kamera yetu....
hapo ni mguu juu mguu chini kuangalia huku na kule kama kuna gari...
Hapa kijana akiendelea kutadhmini ni njia ipi atumia kwa ujanja kuvuka barabara hiyoo akiwa na kipando chake bega kwa bega na godoro lake begani...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad