Muonekano wa Mnara wa Azimio la Arusha na Mlima Meru jioni ya leo.
pilikapili maeneo ya Stendi ya mabasi, Arusha.
Mdau akijiandaa kuvuka barabara kuwahisha mzigo.
Foleni kwa kinyozi maarufu jijini Arusha.
Hii ndio raha ya pekee kwa daladala za jijini Arusha.
Mafundi wakiendelea na kazi yako katika moja ya gari maeneo ya Mtaa wa Swahili, jijini Arusha.
Tangazo la kuhamishwa kwa duka.
Vijana wakipata msosi, Stendi ya mabasi jijini Arusha.
Wakina mama wa Arusha ndio wanaooneka katika maeneo mengi ya biashara ndogo ndogo, ukitofautisha na maeneo mengine ya nchi.
Mahindi ya kuchoma ndio yenyewe kipindi hiki huku jijini Arusha.
Daladala la Arusha likipakia abiria barabarani.
Mdau aitafakari mambo kadhaa ya kidunia.
Vikwangua anga vyazidi kupanda maeneo ya katikati ya jiji hili la Arusha.
moja ya mitaa ya Arusha.
Miwa.
Muonekano wa Mitaa mbali mbali katika jiji la Arusha.
Mie na Rafiki yangu Sakala tukiendelea kutabaruki mitaa ya Arusha.
Bila mahindi choma, Arusha hata hakunoji.
No comments:
Post a Comment