HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 1, 2015

MATAPELI WANAO FANYA WIZI KWA NJIA YA MITANDAO WAENDELEA KUBAINIKA JIJINI MBEYA......

Watu wengi hususani wafanya biashara mbalimbali jijini mbeya wamekuwa waki lalama juu ya wizi unao fanyika na baadhi ya matapeli wanao tumia njia ya mitandao kukwapua pesa kwenye baadhi ya maduka jijini humo, na moja ya miongoni mwa matapeli hao ambae hakuweza kufahamika kwa majina alibainika katika eneo la soweto stendi mpya jijini mbeya alie kuwa akifanya wizi kwa njia ya m pesa mara baada ya kutaka kurushiwa pesa kwenye simu yake ya mkononi na kudai yakwamba ujumbe mfupi kutoka katika mtandao wa vodacom tanzania haujamfikia na kuripoti juu ya fedha alizo kuwa katumiwa na hatimae mmiliki wa duka hilo kuchukuwa jukumu la kufuatilia kwa kuwauliza wa hudumu wa mtandao wa vodacom tanzania na kuambiwa yakwamba pesa imetumwa kwa nambari nyingine ambayo mtuhumiwa huyo alikuwa akiitumia na kumbaini kuwa yeye ni tapeli atimae kumuweka chini ya ulinzi.picha na Fadhiri Atick Mbeya.
baadhi ya wakazi na wafanya biashara wa eneo la soweto wakishuhudia tukio hilo.
hapo wakazi wa soweto wakiizui gari iliyo kuwa ikitaka kumbeba mtuhumiwa na kumpeleka kituoni.
mlango wa duka hilo ulifungwa kuajili ya kuepusha hisia kali za kujeruhi kutoka kwa wananchi walio hitaji mtuhumiwa atolewe nje wamalizane nae.
mmoja wa wakazi wa soweto akiwa amekamatia kiadabishwa mkononi tayari kwa kujeruhi.
jeshi la polisi lilifika katika eneo la tukio kuajiri ya kumchukuwa mtuhumiwa kutokana na wananchi wa eneo hilo kuhitaji kupiga tize na mtuhumiwa.

mtuhumiwa sambamba na jeshi la polisi kuwahishwa kwenye eneo husika                                      kuajiri ya kutatua jambo hilo kituoni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad