Ni miaka sita imepita tangu ulipotutoka mpendwa wetu Louis Mipawa John
Hatutosahau upendo, ukarimu ucheshi, hekima na busara zako.
Hatutosahau upendo, ukarimu ucheshi, hekima na busara zako.
Unakumbukwa sana na familia nzima ya marehemu Mzee John Sunga wa Bugarika, Mwanza, ndugu, jamaa na marafiki. Kamwe pengo lako halita zibika.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa, Jina la bwana lihimidiwe
Roho ya marehemu Louis Mipawa apate rehema kwa Mungu apumzike kwa amani.
Amina
No comments:
Post a Comment