Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipo wasili kwenye kijiji kimoja huko makete na kunasa taswirazz za watoto wa mkulima jinsi mambo yanavyo songa huko hakuna muda wa kucheza ni kazi kazi tuu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
si unaona mwenyewe hapo mmoja wapo akiwa na unifomu za shule na jembe mkononi.
No comments:
Post a Comment