Roli aina ya fuso likiwa katika hali mbaya mara baada ya kuseleleka kwenye moja ya barabara korofi njia itokayo njombe mjini kuelekea makete na hii kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha na mchuma huo kiujikuta ukiwa katika hali ya utulivu kusubiri msaada maana maalifa yakizidi tu hapa lolote linaweza kutokea kulingana na mkeka huo kuwa na utelezi wa kufa mtuu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
mchuma ukiwa umedinda kwa kubendi upande mmoja.
hivi ndivyo mchuma huo uonekanavyo kwa nyuma.
No comments:
Post a Comment