HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 26, 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA WAPIGANAJI WA MWANJERWA NA STENDI YA KABWEE.

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog na mionekano tofauti tofauti ya wapiganaji mbalimbali wa biashara ndogo ndogo na wachakalikaji eneo la mwanjelwa na stendi ya kabwe jijini mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (MR.PENGO) Mbeya.
mdau akitathmini baadhi ya viatu kilingeni kwake.
rumbesa la pamba nyepesi za leo leo mwanjerlwa.
mama akijaribu kusasambua nguo muhimu za ndani.
matunda yakiandaliwa mapemaa kando kando ya stendi ya mabasi ya mzunguko eneo la kabwe.
pilika pilikaza hapa na pale.
mzee wa matunda maji (matikiti) na kiwekwa chake.
                                                 baadhi ya abiria wakisubiri usafiri...
kondakta katika pozi golini kwake....PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad