HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 15, 2015

SERIKALI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA WA MKOA WA RUVUMA

SAFARI: Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho uliopo umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Habari wakielekea kukagua mradi wa kilimo cha Karafuu cha kikundi cha ujasiriamali cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha huduma za Sheria Bi. Ester Riwa na kushoto ni Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Wataalamu Kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika ukaguzi wa mradi wa kilimo cha karafuu cha Ushindi uliopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho umbali wa Kilometa 106 kutoka Ruvuma mjini.
Mradi wa kilimo cha karafuu wa kikundi cha ujasiriamali cha ushindi kilichopo katika kijiji cha Mkongotema Kata ya Mkongotema Tarafa ya Madaba Halmashauri ya Songea Jimbo la Peramiho.  Picha na Benjamin Sawe

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad