Kinga ni bora kuliko tiba. Lakini kwa mti huu ulio katika barabara ya Kijichi, Dar es Salaam, kama inavyoonekana katika picha mbalimbali, ni wazi kuna siku kitalia. Na inaelekea mamlaka zinazohusika ama zimepitiwa au zinachukulia poa tu. Picha zote na Nathan Mpangala.
Taswira hizi zinaonesha ni jinsi gani hatari hiyo ilivyo karibu na wananchi
Waendesha magari, bodaboda na waendao kwa miguu inawahusu hii
No comments:
Post a Comment