Mitego ya kamera yetu iliyotegwa mitaa mbalimbali kuhakikisha libeneke la mtaa kwa mtaa linaimarishwa vyema ilibahatika kunasa taswira ya jamaa alie jilaza chini na kuacha kazi kisa na mkasa ni kuweza kutoa maneno mazuri na matamu kwa anae wasiliana nae.
baada ya kumaliza dakika zake alizo jiunga na kifurushi katika mtandao anao utumia akaingia kumalizia upande wa meseji sasa.... hapo ndipo mpaka jua lilipo zama.
No comments:
Post a Comment