Dogo huyu mwenye jitihada zake binafsi katika swala zima la kujiongeza katika shughuli mbalimbali kuwasaidia wazazi shughuli za hapa na pale mapema leo alinaswa na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa akijaribu kupanga magunia ya mkaa katika muonekano mzuri.picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa dogo akiojitutumua kunyanyua moja ya gunia la mkaa.
dogo akiendelea kuweka sawa magunia.
No comments:
Post a Comment